.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 14 Aprili 2014

MKE WA RAIS WA KENYA MAMA MARGARET KENYATTA AMALIZA SALAMA MBIO ZA MARATHONI ZA LONDON

Jana jioni mke wa Rais wa Kenya Mama Margaret Kenyatta alishiriki mbio za marathoni za London na kumaliza salama, huku mumewe Rais Uhuru Kenyatta akishuhudia.

Mke wa rais alikuwa akikimbia mbio hizo katika kuchangisha fedha kwa ajili ya kampeni ya kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto nchini Kenya.

Mama Margaret Kenyatta anaweza akaingia kwenye rekodi za kitabu cha Guinness kwa kuwa mke wa kwanza wa rais kuwahi kukimbia mbio hizo na kumaliza kilomita zote 42.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni