Moto mkubwa wa
msituni umeteketeza karibu nyumba 150 katika bandari ya Valparaiso
nchini Chile.
Maelfu ya watu
wamehamishwa kutoka mji huo ili kuwanusuru na miale ya moto ambayo
imekuwa ikichochewa na upepo mkali unaotokea eneo la ukanda wa
Pacific.
Rais Michelle
Bachelet ameliagiza jeshi kuingia kazini kuongoza uhamishaji watu na
kutangaza eneo la mji huo uliopo kilomita 110 Magharibi mwa Santiago
kuwa ni la maafa.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni