Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea maelezo
kutoka kwa Afisa wa Bunge Bwana Patson Sobha, wakati alipowasili kwenye
Banda la Bunge la maonesho ya maadhisho ya miaka 50 ya Muungano wa
Tanzania yanayoendelea katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Maonesho hayo yatakayofikia kilele siku ya Jumamosi Aprili 19, ikiwa ni
maandalizi ya siku kuu ya Muungano ambayo husherehekewa Aprili 26. R
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni