.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Aprili 2014

KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA ACP SUZAN KAGANDA AAPA KUPAMBANA NA WAHALIFU WA KILA AINA MMOANI HUMO

             Maganda ya risasi ambayo yalitelekezwa yakiwa katika mfuko wa manila
 Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, ACP Suzan Kaganda akiwaonyesha waandishi wa habari maganda ya risasi 2256 yaliyokuwa yametelekezwa eneo la tukio
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Suzan Kaganda akiwaonyesha waandishi wa habari pikipiki zilizokamatwa na jeshi hilo zilizokuwa zimeporwa
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Suzan Kaganda akiwaonyesha waandishi wa habari bunduki aina ya Gobore aliyokamatwa nayo mtuhumiwa
Kamanda wa Polisi mkoa waTabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda leo tarehe 18/04/2014 amefanya mkutano na waandishi wa habari, na kuzungumzia mambo mbalimbali hasa mafanikio yaliyopatikana katika Operesheni zinazoendelea mkoani Tabora. Wahalifu wa makosa mbalimbali wamekamatwa na watuhumiwa kufikishwa mahakamani.   

 Taarifa na D/C FAKIH ABDUL wa ofisi ya Kamanda Mkoa wa Tabora.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni