Foleni ya magari ilikuwa kubwa Mbezi Afrikana mida ya jioni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha
Hili sio bwawa la samaki la, ni maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam na kuifanya barabara hii ya Mikocheni viwandani kupitika kwa taabu sana



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni