.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Aprili 2014

NAIBU WAZIRI WA KAZI AFGHANISTAN ATEKWA, DEREVA WAKE AJERUHIWA KWA RISASI

Naibu waziri wa Kazi wa Afghanistan Ahmad Shah Walid ametekwa katika mji wa Kabul akiwa njiani anaelekea kazini mapema leo. 

Watu wanne waliokuwa na silaha walifyetua risasi kuelekea katika gari alilokuwa waziri huyo, kisha kumchukua na kutokomea nae huku dereva wake akijeruhiwa katika tukio hilo. 

Vyombo vya usalama vimesema vimelichukulia tukio hilo kama uhalifu na wamekwepa kulihusisha na kundi la Taliban

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni