.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Aprili 2014

RAIS KIKWETE AONANA NA WAZIRI WA NISHATI WA UINGEREZA, AFUNGUA KONGAMANO LA MKAKATI WA KIMATAIFA KUBORESHA MIUNDOMBINU


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo April 15, 2014


Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu
katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) baada ya kulifungua katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo April 15, 2014


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam leo April 15, 2014
 
 PICHA NA IKULU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni