.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Aprili 2014

MH. ASHA BAKARI MAKAME APONGEZWA NA WAJUMBE WENZAKE KWA MSIMAMO WAKE NDANI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA


Munge wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Waride Bakari Jabu akitoa neno la shukrani kwenye hafla fupi ya Kupongezwa Mjumbe mwenzake Mh. Asha Bakari Makame kwa Msimamo wake ndani ya Bunge hilo


Keki Maalum iliyoandikwa Hongera Bi Asha ambayo imeandaliwa na baadhi ya Wajumbe Wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kumpongeza Mjumbe wa Bunge hilo Mh. Asha Bakari Makame kwa umahiri wake wa kupinga udhalilishaji wa kijinsia ndani ya Bunge hilo
 
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Asha Bakari Makame akitoa shukrani zake kwenye hafla fupi ya Kupongezwa kutokana na kutetea jinsia ya Wanawake ndani ya Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Asha Bakari Makame akikata Keki Maalum kuashiria uzinduzi wa hafla fupi ya kupongezwa kwake kutokana na msimamo wake ndani ya Bunge Maalum la Katiba linaloendelea Mjini Dodoma.

Kushoto yake ni Waziri wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Maendeleo ya Vijana wanawake na Watoto Mh. Zainab Omar Mohammed
 

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Asha Bakari akimlisha Keki Mjumbe mwenzake wa Bunge hilo Mh. Zainab Omar Mohammed kwenye hafla fupi ya kupongezwa kwake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni