Zionnghaka Chana akiwa amesimama mbele ya wake zake 39.
Raia wa India, Zionnghaka Chana ametokea kuwa maarufu hasa kwa wanasiasa nchini India katika mji wa Mizoram kutokana na kuwa na familia kubwa yenye wake 39 pamoja na watoto na wajukuu 127 ambao anaishi nao pamoja katika nyumba moja wote.
Chana amejipatia umaarufu mkubwa hasa kwa wagombea ndani ya mji huo wa Mizoram wakati huu India ikiwa katika uchaguzi mkuu utakaochukua wiki tano kukamilika. caha anaishi katika kijiji cha Baktawng
Chana ( kulia ) akiwa katika picha ya pamoja na watoto na wajukuu wake wapatao 127
Hii ndio nyumba ambayo familia hii ya Chana inaishi pamoja. Ghorofa hili lina jumla ya vyumba 100
Mmoja wa wake wa Bwana Chana akiandaa chakula kwa ajili ya familia yake
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni