.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Aprili 2014

NMB YATOA MSAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi (kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Bw. Salie Mlay kwa kumkabidhi vifaa vya hosipitali vilivyotolewa na benki ya NMB kwa kwa Hospitali ya Mwananyamala . Vifaa hivi vyenye thamani ya shilingi milioni tano vilikabidhiwa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali hiyo. Akishuhudia makabidhiano haya ni Meneja wa NMB Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa

Meneja wa NMB tawi la Msasani Bi. Mary Ngallawa Pamoja na Maofisa wa Hospitali ya Mwananyamala wakiyafurahia mashuka yaliyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya kupunguza uhaba wa mashuka unaoikabili Hospitali hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni