Ratiba ya nusu fainali ya michuano ya Europa League imetolewa leo kwa Sevilla ya Hispania kukutana na ndugu zao Valencia pia ya Hispania, na mchezo wa kwanza utachezwa alhamisi ya tarehe 24 mwezi huu wa nne
Yenyewe Benfica ya Ureno imeangukia mikononi mwa Juventus ya Italia katika hatua hiyo ya nusu fainali ya nusu fainali ya kombe la Europa
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni