Rais Barack Obama ameonyesha uwezo wake
wa kumjali mkewe baada ya kuudhibiti upepo mkali uliokuwa ukinyanyua
sketi yake wakati wakikwea kwenye ndege yake ya Air Force One.
Obama alikuwa akipanda ndege yake hiyo
huko Houston, wakati ambapo sketi ya Michelle ilipoanza kupeperushwa
na upepo mkali na kuamua kuikinga kwa mikono yake ili kutomuabisha.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni