.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Aprili 2014

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TERMINAL 3 UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE DAR ES SALAAM


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza leo, Alhamisi, Aprili 24, 2014, kabla ya kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Awamu ya Tatu ya Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam kwenye eneo la Uwanja huo, Kipawa.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya ujenzi wa Awamu ya Tatu ya Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam kwenye eneo la Uwanja huo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Kikwete na Balozi wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks wakifunua pazia huku Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe katikati na viongozi wengine wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa uwanja huo.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni