.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Aprili 2014

RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA ZIARANI NCHINI JAPAN

Rais wa Marekani Barack Obama akisalimiana na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe. 

Rais wa Marekani, Barack Obama ameanza ziara ya wiki moja barani Asia. 

Katika ziara hiyo ya bara la Asia, Obama anatarajiwa kuzitembelea pia nchi za Korea Kusini, Malaysia na Ufilipino. 

Ziara ya siku tatu nchini Japan niya kwanza tangu mwaka 2010, na katika ziara hiyo mazungumzo yanayotarajiwa kuchukua nafasi kubwa ni kuhusu mkataba wa kibiashara wa eneo la Pacific.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni