.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Aprili 2014

REAL MADRID WAPOKELEWA KWA SHANGWE BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA COPA DEL REY

 Wachezaji wa Real Madrid wakiwa katika gari kubwa la wazi wakikatiza mitaa katika jiji la Madrid baada ya kuutwaa ubingwa wa kombe la Mfalme " Copa Del Rey " usiku wa kuamkia leo, baada ya kuifunga Fc Barcelona mabao 2-1 katika mchezo wa fainali 
 Maelfu ya mashabiki wa Madrid walijitokeza na kujipanga mitaani kuilaki timu yao ilipowasili katika jiji hilo na kombe mkononi leo asubuhi 
Mashabiki wa Real Madrid wakiwa na furaha ya timu yao kuinyamazisha Barcelona na kutwaa ubingwa Copa Del Rey

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni