Kampuni ya Kimataifa inayotengeneza
simu za Samsung Galaxy leo imezindua duniani kote simu yake mpya
Galaxy S5 uzinduzi ambao nchini Tanzania umefanyika Jijini Dar es
Salaam na kufana.
Simu hiyo ya Galaxy S5 inatarajiwa
kupokelewa kwa wingi na wateja wa kampuni hiyo ya Korea Kusini,
kutokana kuwa ni moja ya simu bora za aina ya smartphones iliyopo
sokoni kwa sasa.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni