Timu ya Chelsea wamepangwa na Atletico
Madrid katika nusu fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya huku Real
Madrid wakikutanishwa na mabingwa watetezi wa kombe hilo Bayern
Munich ya Ujerumani.
Chelsea inapambana kutinga fainali za
ligi hiyo ndani ya misimu saba, itakuwa wageni wa kikosi kocha
Vicente Calderon katika mchezo wao wa kwanza utakaochezwa Aprili 22,
na kurudiana tena baada ya siku nane baadae.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni