.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Aprili 2014

MWENDESHA MASHTAKA AZIDI KUMSHUTUMU OSCAR PISTORIUS KWA KUHUSIKA KUMUUA MPENZI WAKE

Mwendesha mashtaka Gerrie Nel ameendelea kumshutumu Oscar Pistorius, kwa kumtuhumu kwa kudanganya na kutengeneza ushahidi, katika kesi ya mauaji inayoendelea katika Mahakama Kuu ya Gauteng Mji wa Pretoria leo asubuhi.

Nel amedai kuwa Pistorius aliizima alamu yake baada ya kuondoka chumbani na kushuku ngazi kuelekea eneo la chini ya nyumba yake baada ya kumpiga risasi mpenzi wake Reeva Steenkamp katika nyumba yake hiyo iliyopo mji wa Pretoria siku ya Februari 14 mwaka jana.

Baada ya kubanwa na mwendesha mashtaka Pistorius alikiri alifanya makosa katika maelezo yake kuhusu kuzima alamu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni