.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Aprili 2014

USAIN BOLT AMFAGILIA BALE NA KUSEMA NI MWANASOKA MWENYE SPIDI KALI

Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale ameendelea kumwagiwa sifa kwa kufunga goli lililoipa ushindi timu yake dhidi ya Barcelona katika fainali za kombe la mfalme zilizoishia kwa maboa 2-1.

Safari hii mwanariadha Usain Bolt, ambaye ndiye binadamu mwenye mbio za kasi kuliko wote duniani za mita 100, amesema Bale ni mwanasoko mwenye mbio za kasi zaidi duniani kwa hivi sasa.

Bolt amesema Bale alifunga goli hiyo la ushindi katika dakika za mwisho kwa staili ya uanariadha na kwa kasi ya hali ya juu ambayo hamna mwanasoka anayeweza kuifikia.
                                              Mwanariadha wa Jamaica Usain Bolt

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni