.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 21 Aprili 2014

WAZIRI MKUU UGANDA ASEMA MUDA UKIFIKA ATATANGAZA NIA YAKE

Waziri Mkuu wa Uganda, Mh. Amama Mbabazi akiwa na mkewe Jacqueline pamoja na Mchungaji Tukwasibwe wa Kanisa la Karubaizi baada ya Misa ya Pasaka jana mjini Kampala Uganda. 

Waziri Mkuu wa Uganda Mheshimiwa Amana Mbabazi amewataka watu wote wanaomzunguzia kuhusu kutaka kuwania nafasi ya Uraisi katika uchaguzi mkuu ujao waache kumzungumzia, napia hakuna wa kumzuia kama atafikia uamuzi wa kutaka kuwania nafasi yeyote ya kisiasa. 

Akizungumza katika misa ya sikukuu ya Pasaka jana katika Kanisa la St. Endrew's Karubaizi wilaya ya Kanungu, Mh Mbabazi amesema siku akiwa na ndoto za kutaka kuwania nafasi yeyote ya kisiasa hatasita kutangaza hadharani nia yake hiyo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni