Benki ya Barclays inatarajia
kuwapunguza wafanyakazi 14,000 katika mwaka huu, huku nusu ya
watakaopunguzwa wakitokea Ulaya, ikiwa ni mkakati mpya wa benki hiyo.
Idadi hiyo ni kubwa ikilinganishwa
idadi ya makadirio ya awali ambapo ilisema itapunguza wafanyakazi
10,000 ama 12,000 katika mwaka huu.
Uwekezaji wa benki ya Barclays
umekumbwa na mdororo kutokana na madeni ya serikali na kampuni na
wafanyakazi watakaopoteza ajira 7,000 ifikapo mwaka 2016.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni