.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Mei 2014

BOKO HARAMU SASA WATISHIA KUWAUZA WANAFUNZI WALIOWATEKA

Waandamanaji, wanawake kwa wanaume wakiwa na mabango yenye kutaka wanafunzi hao kuachiliwa huru.

Kundi la Boko Haram limedai kuwa litawauza wanafunzi zaidi ya 230 ambao linawashikilia mateka. 

Kiongozi wa kundi hilo Abubakar Shekau, ametoa kauli hiyo katika mkanda wa video alioutoa akiwa mafichoni na kusema kundi hil ndilo linalohusika na utekaji wa wanafunzi hao. 

Wanafunzi hao wasichana walitekwa katika shule yao ya bweni ya Chibok, iliyopo Kaskazini mwa jimbo la Borno nchini Nigeria tangu April 14, mwaka huu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni