Dunia inajianda
kukabiliana na kile kinachotabiriwa kuwa ni mvua kubwa za El Nino
ambazo hazijawahi kuukumba ulimwengu.
Kwa mujibu wa wataalam wa
hali ya hewa duniani, hali hiyo ya mvua za El Nino inatarajia
kuikumba dunia katika kipindi kisichozidi miezi miwili hivi.
Wataalam hao wamesema mvua
kubwa za El Nino zitanyesha katika maeneo kadhaa duniani mwanzoni mwa
mwezi Julai, ambapo mvua kubwa itanyesha katika baadhi ya kanda
ikiwemo ya Afrika Mashariki.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni