Mchezaji tenesi Andy
Murray amesema inawezekana anakosa muelekeo wakati huu ambapo hana
kocha wa kudumu, baada ya kupoteza mchezo wake kwa pointi 6-3 6-2
dhidi ya Santiago Giraldo huko Madrid.
Murray aliachana na kocha
wake Ivan Lendl mwezi Machi baada ya kuwa chini ya kocha huyo kwa
miaka miwili na kufanikiwa kushinda michuano ya wazi ya Marekani na
ya Wimbledon.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni