Dokta Muganyizi Kairuki akifanya upasuaji huku akiangalia kwa kutumia kamera maalum wakati wa kufanya operesheni.
Daktari Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.
Daktari Bingwa wa Upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye ngozi. Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga.( Picha na Francis Dande )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni