Aneth kushaba(AK 47)akiiimba kwa hisia kali ndani ya kiwanja cha kijanja cha Thai Village akiwa na kikosi kamili cha Skylight Band.
Mpiga Drums wa Skylight band Idrissa akiwa na furaha ya kutosha baada ya kuona mashabiki wake wanavutiwa na jinsi anavyozicharaza drums.
Testimon Testimony ehhhhhh ni furaha yakutosha kwa mashabiki hawa wa Skylight Band wanayoipata kutoka kwa Bendi yao ya kijanja na iliyokamilika kila idara.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni