.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Ijumaa, 9 Mei 2014
MVUA NI ADHABU JIJINI DAR ES SALAAM
Magari yakipita kwa shida katika barabara ya Uhuru jijini Dar es Salaam jana kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na kuwa kero kwa madereva na watembeao kwa miguu. Kutokana na miundombinu mibovu maji haya yamekosa pa kwenda na kutuama sehemu moja.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni