.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 10 Mei 2014

KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AWASILI NA KUPOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI NZEGA


Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa jimbo la Nzega,Mh.Hamis Kingwangala mapema leo asubuhi katika kijiji cha Ziba,mpakani mwa Igunga na Nzega, wakati Ndugu Kinana na Ujumbe wake akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Taifa,Nape Nnauye mara baada ya kuwasili wilayani humo kuendelea na ziara yake ya siku 10 mkoani Tabora.Kinana amewasilia wilayani Nzega akitokea wilayani Igunga mkoani Tabora.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalaimiana na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa,Hussein Bashe mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha Ziba,mpakani mwa Igunga na Nzega mkoani Tabora.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na vijana wa Green Gard,kulia ni Katibu wa NEC,Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Taifa,Nape Nnauye

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni