.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 10 Mei 2014

VIFO VINAVYOTOKANA NA POMBE HARAMU ZA KIENYEJI VYAENDELEA KUITESA KENYA

Mkuu wa Polisi wa Limuru aliyevaa koti la rangi ya brown akiwa na maofisa wengine wa polisi wakati wakiwashusha watuhumiwa waliohusika na utengenezaji wa pombe haramu ya kienyeji na dawa za kulevya huko Limuru. 

Watu 5 wamefariki dunia na wengine 11 wamelazwa hospitali wakiwa na hali mbaya huko Flyover Niavasha nchini Kenya baada ya kunywa pombe haramu iliyotengenezwa kienyeji. 

Huu ni mfululizo wa vifo vilivyotokana na kunywa pombe haramu za kienyeji huko nchini Kenya, ambapo mpaka sasa zaidi ya watu 80 wamefariki dunia katika majimbo sita tofauti huku wengine zaidi ya 200 wakiwa wanaendelea kupatiwa matibabu hospitali.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni