.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Mei 2014

KOCHA WA BRAZIL LUIZ FELIPE SCOLARI KUCHUNGUZWA KWA KUKWEPA KODI

Kocha wa Timu ya Taifa ya Brazil, Luiz Felipe Scolari, anatarajia kukabiliana na uchunguzi wa kosa la uhalifu la kukwepa kodi nchini Ureno kutokana na madai ya kukwepa kodi.

Scolari alifundisha timu ya taifa ya Ureno kuanzia mwaka 2003 hadi 2008, na madai hayo yanadaiwa kuhusiana na wakati huo.

Katika taarifa yake Scolari amesema daima amekuwa akitoa taarifa za mapato yake katika nchi zote alizowahi kufanyakazi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni