MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MFUKO WA UBUNIFU NA MAENDELEO YA WATU ( HDIF )
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni