.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Mei 2014

MATUKIO MBALIMBALI YA SIKU YA WAUGUZI KITAIFA JIJINI ARUSHA HAPO JANA

 Wauguzi wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Jakaya Kikwete katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha hapo jana.
 Wauguzi wakionyesha namna wanavyotoa huduma kwa wagonjwa wakati wa sherehe hizo za siku ya Wauguzi Duniani, ambazo kitaifa zimefanyika mkoani Arusha jana.
 Wanafunzi hawa wakiwa na mgeni rasmi, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Jakaya Kikwete.
 Wauguzi wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Rais wa Jamuhuri ya Muunganio wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete
                                             Baadhi ya wauguzi wakimsikiliza mgeni rasmi.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Jakaya Kikwete ( katikati ) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wea serikali akiwemo naibu Waziri wa Afya na Mkuu wa Mkoa wa Arusha walikaa kulia kwake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni