Msongamano mkubwa wa magari katika makutano ya barabara ya Shekilango na Ali Hassan Mwinyi asubuhi ya leo
Hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na mvua zinazonyesha maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam imekuwa chanzo cha foleni katika barabara nyingi za jiji kama inavyoonekana.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni