.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Mei 2014

MBU AENEZAE UGONJWA WA DENGUE

Muonekano wa mbu hatari aenezae ugonjwa wa Dengue. Mbu huyu anaelezewa kuambukiza ugonjwa wakati wa asubuhi na mchana. Hupenda kuzaliana katika maeneo yenye maji safi yaliyotuama. Tayari ugonjwa wa Dengue umeua watu kadhaa na wengine wengi wamelazwa hospitali kwa matibabu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni