.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Mei 2014

ANAENDESHA MAISHA KWA KUPIGWA KILA SIKU

 Raia mmoja wa China, Xie Shuiping ameamua kujipatia kipato chake cha kila siku kwa kuruhusu watu wampige kadiri wawezavyo katika tumbo lake. Shuiping mwenye miaka 48 mkazi wa jimbo la Hubei, amesema kwa mwezi anaingiza kiasi cha Yuan 20,000 kutoka kwa watu mbalimbali wanaompiga ngumi au mateke katika tumbo lake.
Pamoja na kupata kipingamizi kutoka kwa mke wake na watoto wao wawili wa kike juu ya kazi yake hiyo ambayo inaweza kuhatarisha maisha yake, Shuiping amegoma kuwasikiliza na kusema kuwa kipato anachokipata kutokana na kupigwa tumboni na wapita njia mtaani, kinamsaidia sana kuendesha maisha yake na familia yake bila shida.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni