Shimo hili lipo katikati ya barabara ya lumumba karibu na kituo cha mabasi cha Bhakresa kilichopo kama unaelekea Kariakoo jijini Dar es Salaam. Shimo hili limekuwa likisababisha msongamano mkubwa wa magari.
Mvua zinazoendelea kunyesha zimekuwa sababu kubwa ya kuendelea kuharibika na kuchimbika kwa baadhi ya barabara kuu na zile za pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni