.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Mei 2014

IKULU YA PARAGUAY YAVAMIWA NA MCHWA PAMOJA NA POPO NA KUTISHIA USALA WA RAIS

Wasanifu wa majengo nchini Paraguay wamesema mchwa wamevamia Ikulu ya nchi hiyo na kutishia kuathiri jengo hilo la rais.

Msanifu majengo Gustavo Glavinich amesema mchwa hao wameharibu maeneo yaliyojengwa kwa mbao, ikiwemo sakafu pamoja na nguzo za mbao zinazoshikilia baadhi ya maeneo ya jengo la Ikulu hiyo.

Glavinich amesema kuwa maeneo mengine ya Ikulu hiyo iliyojengwa karne ya 19, si tu yana mchwa bali pia kuna makundi ya popo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni