Beki Rio Ferdinand ataondoka Manchester
United katika majira ya uhamisho ya kipindi cha joto, baada ya
kutopatiwa mkataba mpya.
Kuondoka kwa beki huyo mwenye umri wa
miaka 35, kutamaliza miaka 12 aliyokuwepo kwenye klabu hiyo ya Ol
Trafford ambapo aliichezea michezo 454 na kuifungia magoli nane.
Ferdinand amesema baada ya miaka 12
mizuri akiwa Manchester United ameamua kuondoka klabu hiyo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni