.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Mei 2014

MAZIKO YA BABA MZAZI WA MBUNGE WA LUDEWA, DEO FILIKUNJOMBE YAFANYIKA LEO


Mbunge Zitto Kabwe kulia akimfariji Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe leo mjini Ludewa kwa kifo cha babake Mbunge Filikunjombe.


Naibu waziri wa maendeleo ya wanawake na watoto Pindi Chana na Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba kulia, kushoto ni mwenyekiti wa CCM Ludewa Bw Stanley Kolimba.

 DC Ludewa Bw Juma Madaha akitambulisha viongozi mbali mbali.
RPC Njombe akiongoza msafara wa mazishi hayo hii ni polisi jamii ulinzi shirikishi.
                                                Msafara ukielekea Kanisani kabla ya mazishi
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto akilitazama jeneza lenye mwili wa babake marehemu Frolian Filikunjombe likiingizwa ndani ya kanisa la RC Ludewa kwa ajili ya ibada ya mwisho kabla ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Ludewa mjini. 

                                                            Kwa hisani ya Francis Godwin Blog

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni