Waasi wa kundi la Boko Haramu la nchini Nigeria limewateka tena wasichana wengine nane usiku wa kuamkia jumapili katika kijiji cha Warabe katika jimbo la Borno. Wasichana hao wana umri kati ya miaka 12 hadi 15.
Jumatatu kiongozi wa kundi hilo alitangaza kuwauza zaidi ya wasichana 230 waliowateka toka shuleni tangu Aprili 14' 2014.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni