Mfanyakazi mmoja amekufa
baada ya kupigwa na shoti ya umeme katika uwanja utakaofanyika
michuano ya Kombe la Dunia.
Mfanyakazi huyo amekufa
katika ajali hiyo iliyotokea kwenye uwanja wa Arena Pantanal
magharibi mwa mji wa Cuiaba wakati akifunga vifaa vya mawasiliano.
Hili ni tukio la kwanza
kutokea katika ujenzi wa uwanja huo wa Cuiaba, hata hivyo wafanyakazi
wengine nane wameshakufa kwa ajali wakati wakati wakijenga viwanja 12
vya Kombe la Dunia nchini Brazil.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni