.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Mei 2014

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF WAINGIA SIKU YAKE YA PILI JIJINI ARUSHA LEO


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akielekezea namna shirika hilo lilivyoanza kufanya kazi zake mpaka kufikia leo hii linapotimisha miaka 50,wakati akiwasilisha Mada yake kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) la Nchini Kenya,Adan Mohamed akiongoza kikao hicho leo kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
 

Mkurugenzi wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada yake iliyohusu mambo ya Uwekezaji,kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.


Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.

                                                                        Mkutano ukiendelea ukumbini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni