.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Mei 2014

JAY Z ABADILISHA MSIMAMO, SASA KUHUDHURIA HARUSI YA KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST

Baada ya awali kusema yeye na mkewe hawatahudhuria harusi ya Kim Kardashian na Kanye West itakayofanyika jijini Paris, Ufaransa May 24' 2014, hatimaye mwanamuziki mahiri Jay Z na mkewe Beyonce watahudhuria katika harusi hiyo ambayo imekuwa gumzo kubwa. 

Awali Jay Z na mkewe Beyonce walisema hawatahudhuria harusi hiyo kwasababu wasingependa kutokea katika kipindi cha Keeping Up With The Kardashians ambacho kinarushwa na channel E, ambacho kitarekodiwa siku hiyo ya harusi.
Katika taarifa iliyotolewa, imesema Jay Z katika harusi hiyo atasimama kama Best Man wa Kanye West.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni