.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Mei 2014

MWANAMUZIKI CHRIS BROWN AHUKUMIWA KIFUNGO CHA SIKU 131


Mwanamuziki Chris Brown atatumikia kifungo cha ziada cha siku 131 baada ya kukiri kukiuka kuwa na tabia njema wakati akiwa chini ya uangalizi.
Nyota huyo wa RnB amekiri katika mahakama huko Los Angeles hapo jana kufanya uhalifu kwa kumpiga mtu Jijini Washington DC mwezi October.

Brown amekuwa chini ya uangalizi wa mahakama tangu mwaka 2009 alipokiri kumpiga aliyekuwa mpenzi wake nyota wa pop Rihanna.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni