.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 15 Mei 2014

MWANAMUZIKI KELLY ROWLAND AFUNGA NDOA YA SIRI

Mwanamuziki mahiri nchini Marekani, Kelly Rowland amefunga pingu za maisha na Tim Witherspoon, ndoa ambayo ilifungwa kwa usiri mkubwa huko Costa Rica. Ndoa hiyo ilihudhuriwa na wageni waalikwa wapatao 30 tu na ilikuwa fupi naya kupendeza. Tim ni bondia wa zamani wa Marekani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni