.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Mei 2014

POMBE ZA KIENYEJI ZALETA MISIBA NCHINI KENYA, ZAIDI YA WATU 32 WAPOTEZA MAISHA KATIKA MIJI TOFAUTI

Polisi mjini Limuru wakimwaga pombe haramu ya kienyeji. Watu 9 wamefariki dunia baada ya kunywa pombe ya kienyeji katika kijiji cha Kawamwaki, Limuru nchini Kenya. 

Watu wengine 5 walipoteza maisha yao katika mazingira kama hayo jumanne katika kijiji cha Ikutha katika jimbo la Kitui.

Taarifa zaidi zinasema idadi ya vifo vilivyosababishwa na pombe hiyo Embu vimeongezeka na kufikia 18 huku watu wengine 40 wakiwa hospitali taabani wakipatiwa matibabu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni