Rais wa Kenya, Mh Uhuru Kenyatta ( kushoto ), akipeana mkono na mmoja wa wanasiasa wa Sudan Kusini, Pagan Amum ( kulia ) walipokutana kwa mazungumzo mjini Nairobi May 08'2014.
Rais wa Kenya, Mh Uhuru Kenyatta, amewapongeza mahasimu wa kisiasa, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir na aliyekuwa makamu wake Riek Machar kwa kufikia makubaliano ya kusitisha vita vinavyoendelea nchini mwao.
Rais Kenyatta amesema anafurahi kuona viongozi hao wamefikia makubaliano na sasa wanajukumu la kuwaunganisha wananchi wa Sudan Kusini.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni