.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Mei 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MKUU WA UNDP BIBI HELLEN CLARK IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark aliyemtembelea leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya ukumbusho na na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark na ujumbe wake aliyemtembelea leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam
                                                                                          PICHA NA IKULU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni