Timu ya Liverpool imetangaza dau kwa
kapteni wa Southampton, Adam Lallana.
Kiungo huyo amekuwa ni mchezaji muhimu
kwa klabu yake hiyo katika msimu huu, akifunga magoli 10 katika mechi
42 alizocheza Uingereza.
Wakati huo huo timu ya Chelsea imeanza
mazungumzo na Atletico Madrid ili kukamilisha kumnasa mshambuliaji
Diego Costa kabla ya kuanza michuano ya Kombe la Dunia.
Diego Costa kushoto akishangilia bao lake


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni