.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 8 Mei 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS GOODLUCK JONATHAN WA NIGERIA JIJINI ABUJA LEO

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan jijini Abuja hii leo. Rais Kikwete yupo nchini Nigeria katika mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika.
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan jiji Abuja hii leo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni